Tufikie
Unaweza kutufikia kupitia njia hizi:
Call: +255 615 396 442
Barua pepe: Info@tehama.or.tz
Anuani: 10th Floor, Sabodo Parking Building 8758, India St, Dar es Salaam, Tanzania
Ungana na sisi
Fanya kazi nasi
Tunawaalika wataalamu wa ICT, mashirika ya kibinafsi na ya umma na NGOs zingine kuungana nasi na kutusaidia kufikia malengo yetu.
Msaada wako unaweza kuwa katika maeneo tofauti kama vile:
★ Kutoa elimu ya TEHAMA kwa wanafunzi na watu wasiojiweza.
★ Kusaidia kutoa usaidizi katika uanzishaju wa maabara za kompyuta sehemu mbalimbali
hapa nchini.
★ Kutoa semina kwa raia kuhusu umuhimu na mustakabali unaotegemea Teknolojia
dependent on Technology
★ Msaada wa kompyuta na vifaa vya kidijitali.